watatuletea usifadi watasema wamenunua hellcopter kwa $81,000,000,000/= na inatakiwa iendeshwe na pilot mmoja aliyefuzu kutoka Marekani kwa mwezi mshahara wake ni $8,000,000,000/=+ mafuta 800litre per da, bora waendelee kutumia hayo hayo magari.Nalog offHivi kwa nini hawa viongozi wasitumie helikopta kwa jiji la Dar es salaam kuepusha usumbufu wa foleni mfano kutoka airport hadi ikulu watumie halikopta badala ya barabara ili wananchi wengine wasipate shida ya foleni. utakuta umewahi ile unafika kwenye taa tu unasimamishwa kwa masaa mawili kusubiri msafara inaudhi hasa ukiwa kwenye gari lako kama uko kwenye daladala unaweza kushuka na kuahirisha safari au wewe unaonaje kama mwana jamii forum?
nawasilisha hoja.
Watumie helikopta??? Wanawake wa mitaani watawaona saa ngapi?
watatuletea usifadi watasema wamenunua hellcopter kwa $81,000,000,000/= na inatakiwa iendeshwe na pilot mmoja aliyefuzu kutoka Marekani kwa mwezi mshahara wake ni $8,000,000,000/=+ mafuta 800litre per da, bora waendelee kutumia hayo hayo magari.Nalog off
Kweli bana.Watumie helikopta??? Wanawake wa mitaani watawaona saa ngapi?
Watumie helikopta??? Wanawake wa mitaani watawaona saa ngapi?