figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,609 Reaction score 62,371 Jul 6, 2025 #1 Boda Boda amegongwa na gari ya msafara wa rais huko Kenya na walikufa papo hapo na gari ikaingia huko kwenye maporomoko Magari hayo yalikuwa yakimsindikiza Rais William Ruto na Gavana Cecily Mbarire baada ya kuhudhuria ibada ya kanisa katika Chuo cha Kigari.
Boda Boda amegongwa na gari ya msafara wa rais huko Kenya na walikufa papo hapo na gari ikaingia huko kwenye maporomoko Magari hayo yalikuwa yakimsindikiza Rais William Ruto na Gavana Cecily Mbarire baada ya kuhudhuria ibada ya kanisa katika Chuo cha Kigari.
Burn the bridge _Tz JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 2,240 Reaction score 6,607 Jul 6, 2025 #2 Mimi Kenya sijawai kuielewa kabisa hii nchi 😂
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,734 Jul 6, 2025 #3 Nipo Dar said: Mimi Kenya sijawai kuielewa kabisa hii nchi 😂 Click to expand... Mi naipenda sana 😂😂
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,261 Reaction score 2,897 Jul 6, 2025 #4 Chanzo cha ajali ni kipi? Boda boda kaingilia msafara au msafara haukua na escort ya piki piki mwanzo?
Chanzo cha ajali ni kipi? Boda boda kaingilia msafara au msafara haukua na escort ya piki piki mwanzo?
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,082 Jul 6, 2025 #5 Tusuburi Maandamano
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,586 Reaction score 74,404 Jul 6, 2025 #6 Wapumzike Kwa Amani Waliokufa
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,407 Reaction score 27,203 Jul 6, 2025 #7 gen Z walikuwa wapi wangeuvaa msafara
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,637 Reaction score 21,347 Jul 6, 2025 #8 Poleni sana jamaa zangu. Kesho show show tu KAZI ni kipimo cha utu
Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 75,716 Reaction score 107,164 Jul 6, 2025 #9 Dalili mbaya sana hizi!
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,466 Reaction score 42,594 Jul 6, 2025 #10 Ruto ana mkosi aisee
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 7,023 Reaction score 9,260 Jul 6, 2025 #11 Uongozi wa RUTO umeandamwa sana na bundi mweusi. Yani vitimbi havikauki
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,068 Reaction score 125,929 Jul 6, 2025 #12 Inasikitisha sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,756 Reaction score 1,251,455 Jul 9, 2025 #13 Hatari sana