Video ya Magu NamibiaNimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
Wale sio washamba Wana exposure kubwa Na wako Kwa ajili wanyonge kivitendo sio kisiasa.Mimi naona Usalama wa huko wako kiteknolojia zaidi na wanaiamini na hapa shamba la bibi hawana teknolojia ya kutosha na iliopo pia hawaiamini au anaeisimamia hawamwamini pia.
Namuonea huruma jiwe kweli jamani, amejisikia vibaya kweli kukosa zile mbwembwe za usalama wa ccm, hurumaaa.
Wale sio washamba Wana exposure kubwa Na wako Kwa ajili wanyonge kivitendo sio kisiasa.
Kwanini asiwakamate hao maadui na kuwaweka jela?Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.
Kwanini asiwakamate hao maadui na kuwaweka jela?
Akiwafikiria ndugu wa Azory, Saanane, Mo, Mdude, Roma, Chinguye na wengine weengi lazima aweke batalioni imlinde hata ungekuwa wewe madamu yote ya wananchi wako hayo unapata kiburi Cha kuweka ulinzi wa kawaida????
Ukiwa mwizi utaogopa kuuwawa, ukiwa muuwaji utaogopa kuuliwa, jibu umepataNimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
Watu wote wa taifa zima la Namibia ambayo inaukubwa kama karibu na nchi yetu ni kidogo kuliko watu ndani ya wilaya ya Temeke. Hivyo suala la security siyo issue kubwa.Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
Hasa wa madawa ya kulevyaNyumbani ana maadui wengi kuliko ugenini
kule hakuna ccm, ccm ndio chnzo cha kulaaniwa nchi hii na viongozi wake.Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
Upendo huanzia nyumbani, amekwama wapi huyu mkuu.Nyumbani ana maadui wengi kuliko ugenini
Jamaa kutokanaMajizi na wapiga dili mnataman kweli apunguziwe ulinzi ili japo mutupe jiwe lkn ndio hivyo Rais wetu acha alindwe we kama una nia ovu jaribu ili ujionee maajabu ya kipigo cha wireless
Hivi muda wake ukiisha anabaki na walinzi wangapi kama sio watatu!, URais ni Uongozi mbaya sana ukijitengenezea maadui maana kuna maisha ya hofu baada ya kutoka madarakani. Sijui Kama analitambua hili! JK alishamuonya mapema "usijitengenezee maadui maana kuna maisha baada ya kustaafu "Hapa nyie akiwatumbua munakasilika sana, kule hakuna alietumbuliwa,ndio maana bora alindwe sana tz