Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Sawa, nimekuelewa.Ni mti wenye matunda.Huwezi kuondoa watu wenye vyeti fake,kubana mafisadi wa kila aina,including wezi wa mali zetu za asili na mali za serikali nk.nk.halafu watu waliokuwa wanafanya madudu hayo wakakupenda,it is so obvious.
Huo ndio ukweli hata kama huutaki,mpo wengi wa aina yako.Madaraka ya kulevya fullstop.
Huo ndio ukweli hata kama huutaki,mpo wengi wa aina yako.
Mbwembwe zipi za kishamba na fedha zipi za serikali alizofuja,hebu tuwekee hapa.Halafu aliyekuambia ana hofu ni nani,kama kuna security risk,ni lazima ulinzi uongezwe,that is usual,hukumuona Kim?Kama anaamini ushirikina hiyo hofu aliyokuwa nayo ni sawa, lakini hamna lolote zaidi ya kufuja fedha za umma kwa mbwembwe za kishamba.
Huo ulinzi atastaafu nao?Ulinzi tosha ni kuwekeza Kwa jamii tenda haki,kataa uonevu,Mwinyi Jk hata kariakoo wanakatiza kiroho safi.Kuulinda udikteta ni gharama.
Kwa kweliKwa ule ulinzi ulioko huku hawezi rudi mtaani
Naamini wakimpa magwanda atakuwa tayari kuwasaidia!Umewajuaje hao maadui? Uko tayari kuisaidia polisi katika hili?
Mbwembwe zipi za kishamba na fedha zipi za serikali alizofuja,hebu tuwekee hapa.Halafu aliyekuambia ana hofu ni nani,kama kuna security risk,ni lazima ulinzi uongezwe,that is usual,hukumuona Kim?
Watanzania tuna nini lakini ?kila kitu ufananishe na nyerereNimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
Well said MkuuMatumizi yoyote yanayozidi uhalisia ni ufujaji wa fedha za umma. Hiyo security risk ni ya kutengeneza ili kuhadaa umma kwamba kafanya makubwa mpaka ana maadui wa hivyo. Huo ulinzi wake ni wa kiongozi aliyeingia madarakani kwa kupindua nchi, na ni nchi yenye machafuko. Hatukatai ulinzi, lakini sio huo wa kufuja fedha ya umma. Mbona huko Namibia huo ulinzi haupo hivyo?
Tanzania hakuna amani,wamebaki wanaihubiri kwa midomo tu huku matendo yao yakionesha nchi ipo kwenye vitaNimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
"Rais wa Marekani ana ulinzi mkali akiwa Marekani kuliko akiwa ziarani nje ya nchi.."Rais wa Marekani ana ulinzi mkali akiwa Marekani kuliko akiwa ziarani nje ya nchi...katika nchi yoyote Kiongozi anakua na maadui wengi ndani ya nchi kuliko nje ya nchi sababu kubwa ni kwamba nchi mwenyeji inaimarisha usalama ili kuepuka migogoro ya kidiplomasia kama kiongozi akishambuliwa nchini kwao....Over