Msafara wa Rais Namibia vs nchini

Ukikandamiza sana watu wako utaogopa mlipuko wakati wowote ule
 
Bila picha uzi wako hauna thamani....
 
Ayeeiyoo.
 
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.

Madaraka ya kulevya fullstop.
 
Umewajuaje hao maadui? Uko tayari kuisaidia polisi katika hili?
Wangapi waliotumbuliwa, makampuni ya kinyonyaji kayabana, unadhani wanataka abaki hai? Never, they want him dead, they can even finance.
 
Madongo anayotupiwa yanatosha kujua kwamba ana maadui wengi,huhitaji PhD kuliona hilo.Na hata yeye mwenyewe kusema tumuombee inaonyesha wazi kwamba anajua the risk he is facing.

Kama anaamini ushirikina hiyo hofu aliyokuwa nayo ni sawa, lakini hamna lolote zaidi ya kufuja fedha za umma kwa mbwembwe za kishamba.
 
Wangapi waliotumbuliwa, makampuni ya kinyonyaji kayabana, unadhani wanataka abaki hai? Never, they want him dead, they can even finance.

Mikogo ya ulevi wa madaraka.
 
Unaambiwa ndege imeenda imerudi imeenda tena itarudi kwa kuwasafirisha wafujaji wa pesa za walipa kodi akina Mangula sijui na naniliii ambao hawana huruma na walipa kodi

Ving'ora polisi traffic sijui Mkuu wa mkoa ocd rpc ni ufujaji wa pesa za walipa kodi kwa nchi maskini kama Tz
Akirudi ajitafakari wapi anakosea
 
Wangapi waliotumbuliwa, makampuni ya kinyonyaji kayabana, unadhani wanataka abaki hai? Never, they want him dead, they can even finance.

Wametumbuliwa kwa faidi ya nani wakati payroll cost za nchi zimeongekezeka? Mtu aliyetumbuliwa halafu bado analipwa mshahara full inamsaidia nini yule maskini was Iselamagazi? Katumbuliwa halafu bado analipwa mshahara anakuwaje adui tena na ni kwa nani?
 

Achakufananisha kila jambo wewe kichwa maji
 

Kwa Afrika sifa ya kiongozi ni kuamua utakacho kama ishara ya nguvu uliyo nayo.
 
Huwezi binya uchumi,uteke watu then ubaki salama na ajiandae hata akishastaafu.
Kubinya uchumi maana yake nini,mlizoea vya kunyonga,vya kuchinja hamviwezi.Ninyi wa vya kunyonga ni the minority,there is not much you can do.
 
Watz si wa hivo ni kila MTU Na 50 zake hakuna mwenye Wazo hilo.Hata ulindwe Na majini wenye nia ovu hawashindwi wakikutana,Kabila baba mlinzi wake ndie aliyemuondoa.Mbele ya Pesa mwanadamu ni dhaifu.
Ina saidia ku-deter threats,otherwise kusingekuwa na haja ya security anywhere,let alone kwa viongozi wakuu.
 
Mbona Trump au Putin wanatembea na mindege na Askari wengi tu wakiwa nje ya nchi zao kuliko wakiwa ndani ya nchi zao?
Kwa kiongozi mkuu wa nchi insecurity ipo anywhere,ni swala la kiwango.So kama unaona security risk ni kidogo na resources zako ni kidogo, unapunguza ulinzi.Nasisitiza inategemea resource availability.
 
Lakini kwanini maadui awe nao wengi hivo?
Ni mti wenye matunda.Huwezi kuondoa watu wenye vyeti fake,kubana mafisadi wa kila aina,including wezi wa mali zetu za asili na mali za serikali nk.nk.halafu watu waliokuwa wanafanya madudu hayo wakakupenda,it is so obvious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…