Msafara wa Rais Namibia vs nchini

Msafara wa Rais Namibia vs nchini

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,314
Reaction score
6,896
Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.

Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.

Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?

Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?

Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.

Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
View attachment 1110068
 
Mi niitegemea hata South Africa atazungukwa vile vile kama hapa nyumbani
 
Umewajuaje hao maadui? Uko tayari kuisaidia polisi katika hili?
Madongo anayotupiwa yanatosha kujua kwamba ana maadui wengi,huhitaji PhD kuliona hilo.Na hata yeye mwenyewe kusema tumuombee inaonyesha wazi kwamba anajua the risk he is facing.
 
Madongo anayotupiwa yanatosha kujua kwamba ana maadui wengi,huhitaji PhD kuliona hilo.Na hata yeye mwenyewe kusema tumuombee inaonyesha wazi kwamba anajua the risk he is facing.
Huwezi binya uchumi,uteke watu then ubaki salama na ajiandae hata akishastaafu.
 
Ndio wameshindwa,wako Tanzania,hawajaenda Namibia.
Watz si wa hivo ni kila MTU Na 50 zake hakuna mwenye Wazo hilo.Hata ulindwe Na majini wenye nia ovu hawashindwi wakikutana,Kabila baba mlinzi wake ndie aliyemuondoa.Mbele ya Pesa mwanadamu ni dhaifu.
 
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.

Mbona Trump au Putin wanatembea na mindege na Askari wengi tu wakiwa nje ya nchi zao kuliko wakiwa ndani ya nchi zao?
 
Mbona Trump au Putin wanatembea na mindege na Askari wengi tu wakiwa nje ya nchi zao kuliko wakiwa ndani ya nchi zao?

Yani Mkuu hao unawafananisha na Jiwe ?kwa lipi hasa? Tz tunalingana na Russia & USA kwa lipi!

Ulinzi wa kina Putin ni kutokana na nguvu za Mataifa yao Duniani, Zina Maadui wengi

Tanzania Maadui wetu ni Ujinga, Maradhi na Umaskini, Silaha na Ulinzi zielekezwe huko.
 
Inategemea na wanaomuwinda wapo wapi... kama wanamsubiri arudi je?... Namaanisha huenda matishio huwa ni makubwa zaidi akiwa nchini au maadui zake wapo nchini na hawapo namibia
 
Back
Top Bottom