johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,674
- 143,062
Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo
Wanasema ni magari ya Serikali.Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana
Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Umeshapanic ππMaswali ya kipumbavu hujibiwa kipumbavu pia!!.
shida ni ufahamu na uelewa mdogo juu ya masuala mbalimbali ya kiserikali na kichama πHili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo
Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana
Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Mbona hata wewe unajua malalamiko yanayohusu msafara wa Makonda(Makonda Safari Rally) yalianza siku ya pili alipozindua uponyaji wake.Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo
Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana
Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Magari ya serikali yanatumiwa kufanya kampeni za ccm wewe unaona ni sawa? Ndilo wali wadau wanahoji.Wanasema ni magari ya Serikali.
Najiuliza, Sasa wale Ma DC DED n.k iliwabidi kutumia magari ya CCM? Kwa sababu ni shughuli za CCM
CHADEMA huwa wanatoa magari ya CHADEMA kwa Vyombo vya Usalama n.k?
Je, yangekuwa Magari ya CCM, ule uchawi unodaiwa kuwa mkali kuliko ule Moshi ule- makali ya ajali yangepungua? Wangetoa Pole?
Tukumbuke hakuwa Makonda peke yake, ama atakuwa mtu wa ajabu kuendesha magari zaidi ya kumi!
Tatizo Ni ujinga wa watanzania. Wanaotoka majumbani mwao kwenda kumsikilozq MJINGA AKIWAHADAAHili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo
Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana
Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
ππππTatizo Ni ujinga wa watanzania. Wanaotoka majumbani mwao kwenda kumsikilozq MJINGA AKIWAHADAA
Hoja za kijinga uwe unaongea kwenye vikao vyenu upenuni. Makonda amefanya kazi gani ya serikali Tangu ameanza ziara?Wanasema ni magari ya Serikali.