Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Usilalamike sana mkuu...huo upuuzi utaondoka October after ukawa kuchukua nnchi....lowasa hato kubar upuuzi wa watumiz mabaya ya pesa za umma kwa ajili ya chama...

wewe kulikuwa na makamo warais
Jinyonge kabla ya kutangazwa rasmi rais JM....
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Kama uliona hayo hayakua yakimuhusu Pombe..
Hio ilikua kwaniaba ya makamu wa rais...
Achakuropoka....
Acha kulialia........kama unaushahidi nenda mahakamani.
kwahiyo siku hizi Makamu wa Rais gari yake inaandikwa Waziri wa Ujenzi? acha kukariri