makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Kanda ya ziwa wasipate hofu, tunamjua Magufuri kuliko ninyi, alianzia kufirisi Nyanza Co-op LTD alipochaguliwa mbunge akawa anafungulia matusi na kejeli.Hata Chato kwenyewe hapati hata 40% ya kura za urais na ninahofu hata mke wake hatampa kura. Pia huku kuna chopa ya UKAWA vijana wanapiga kazi vijijini kama nini mpaka mikutano nane kwa siku.Kura za kanda ya ziwa nikupe habari ndo ukawa wangejaribu kujikita, kule kuna watu kibaoo yaani nyomi ila bahati mbaya kwa ukawa, watu wa kule wengi wameelimika na wana uwezo wa kujua zuri na baya, kanda ya ziwa ndo wanaaoamua nani awe rais.
Hapo nimemkubali lowasa. Kitendo cha kutojibu matusi wana ccm kinampa heshima na ukomavu kisiasa.Lowassa anachukiwa kama Yesu.
ndio dalili ya kiongozi anaetoka kwa Mungu..
wamemtusi hakuwajibu.
Kanda ya ziwa wasipate hofu, tunamjua Magufuri kuliko ninyi, alianzia kufirisi Nyanza Co-op LTD alipochaguliwa mbunge akawa anafungulia matusi na kejeli.Hata Chato kwenyewe hapati hata 40% ya kura za urais na ninahofu hata mke wake hatampa kura. Pia huku kuna chopa ya UKAWA vijana wanapiga kazi vijijini kama nini mpaka mikutano nane kwa siku.
Dar ni sehemu ya mishemishe na ndio maana lazima urudi mara nyingi kuwapa watu attention, nakwambia magufuli Dar hapati kura hata kata ya Ikulu ilipo.
Unajidanganya.Wenye wasi wamezunguka makanisani.umesahau?CCM waji.nga kweli.. Kwa akili yao wanafkiri ukabila unaweza kumbeba Magufuli kanda ya ziwa..... Wangejua Magufuli hakubaliki kanda ya ziwa vibaya sana.... Hata kwao Geita hawamtaki
CCM inapumuliwa mwaka huu.hakuna namna
Hapo nimemkubali lowasa. Kitendo cha kutojibu matusi wana ccm kinampa heshima na ukomavu kisiasa.
NI LOWASA TU HAKUNA NAMNA NYINGINE
Nimepitia comment zote ndani ya uzi huu sijaona comment za faiza fox, lizabon, et al naona wanachungulia kwa mbaaaali ka wale watoza ushuru
CCM waji.nga kweli.. Kwa akili yao wanafkiri ukabila unaweza kumbeba Maufuli kanda ya ziwa..... Wangejua Magufuli hakubaliki kanda ya ziwa vibaya sana.... Hata kwao Geita hawamtaki
Nani kakudanganya kuwa Magufuli hapendwi kanda ya ziwa? Mnahaha mcheza kwao hutuzwa ndo maana Lowasa kaskazini naye atapata kura nyingi. Magufuli atapata 80% kanda ya ziwa na hilo halina ubishi. #Hapakazi tu majungu na Ufisadi peleka Ukawa.
Ianzishwe kampeni maalumu ya watu wa dar kuwaomba wa vijijini kumpigia lowassa kura iitwe "ongea na home lowassa awe raisi"
Kanda ya ziwa wasipate hofu, tunamjua Magufuri kuliko ninyi, alianzia kufirisi Nyanza Co-op LTD alipochaguliwa mbunge akawa anafungulia matusi na kejeli.Hata Chato kwenyewe hapati hata 40% ya kura za urais na ninahofu hata mke wake hatampa kura. Pia huku kuna chopa ya UKAWA vijana wanapiga kazi vijijini kama nini mpaka mikutano nane kwa siku.
Kwani ulikuwa hujui mkuu!! Baada ya kuifirisi ndo akaenda kwenye ubunge.KUMBE ALIFILISI NYANZA COOP,NA KWA JINSI ANAVYOONGEA HAKIKA WANANCHI WALIKOSA LA KUFANYA,MUEPUKENI HUYO WANA KANDA YA ZIWAi