Msafara wa basi la Magereza leo umetia fora

Hawajiamini ndo maana kila kukicha ni vitisho tu, msafara wa kwenda dodoma nao ulikuwa ni kututisha tu! Ila wakae wakijua kwamba wanachokifanya sio sahihi na Mungu atatulipia sisi wanyonge!
Mkuu, mbona unavyoongea ni kama vile mmoja wa hao mahabusu?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Tunaoishi Tabata Segerea mbona huo msafara ni wa kawaida tu, huwa unapita mara kwa mara kutokea gerezani.
 
Hawajiamini ndo maana kila kukicha ni vitisho tu, msafara wa kwenda dodoma nao ulikuwa ni kututisha tu! Ila wakae wakijua kwamba wanachokifanya sio sahihi na Mungu atatulipia sisi wanyonge!

Mbona una mawazo mgando mkuu, hebu ganduka bana, wewe kila kitu unawaza siasa tu hata kwenye mambo ya msingi huo upofu mpaka lini aisee
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mbona una mawazo mgando mkuu, hebu ganduka bana, wewe kila kitu unawaza siasa tu hata kwenye mambo ya msingi huo upofu mpaka lini aisee
Jambo lipi linaendelea kwenye nchi hii chini ya CCM bila kuhusisha siasa? Wewe ndo una mawazo mgando!
 
Ni msafara maalum,kwa wahalifu maalum na hao ni askari wenye mafunzo maalum
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom