Ukweli nimekwama pale ninapo sign in katika email account yangu. Id yangu hakika ni sawa. Password pia ni sawa. Baada ya kujaza na kusaign in kinakuja kile kibox cha draw image nikisha do hivyo; Naletewa swali sasa hapo ndio nachanganyikiwa, swali linakuja toufauti na maswali niliyoyachagu ambae majibu yake ya hakika ninayo pia, naomba msada wa kufanikisha, kufungua account ingine sihitaji, kwani hiyo account ni muhimu kupita maelezo. Please wana jf yeyeto mwenye advise anisaidie ili niweze kuingia,natakunguliza shukrani.