mmh..mkuu kwa cd kufutika tu ghafla si jambo la kawaida...jaribu kutumia cd rom ingine kusoma hiyo cd au jaribu kuifuta vizuri maana inawezekana ni cd rom tu inashindwa kusoma hiyo cd vizuri sababu ya scratch...zaidi ya hapo basi labda iwe ni re writable cd ambazo mtu unaweza kuweka na kufuta vitu afu na wewe umevifuta bahati mbaya..