Msada Tutani.. Msaada Tafdhali

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wadau...

Nina rafiki yangu.. fani yake ni Udereva. Ni mzoefu wa muda mrefu.

Ametumikia Kampuni ya Mabasi na sasa amechoka lawama za tajiri. Mnahitaji udereva safari maalum mf. Gari za kuplekwa mkioani.. coaster ya kusafirisha msiba kwenda mikoani.. coaster kupeleka biria safari maalum.. gari za kawaida za kusamba bidhaa mji(dar) n.k.

Wakati nami nikiendelea kuangalia huku na kule.. naomba wadau wenye ufahamu wa fursa hizi wanisaidie katika hili.. maisha ni kusaidiana

nawakilisha
 
Back
Top Bottom