rafiki yangu ana umri wa miaka 23 lakini ana tatizo la kupiga punyeto,anadai amejitahid sana kujaribu kuacha lakin ameshindwa na anauweza kupiga hata mara 3 kwa siku pia imepelekea mpaka kukosa hamu ya kuwa na msichana kabisa.msada wenu jaman afanyaje aweze kuacha kupiga nyeto.