Msada kuhusu Email notification

Msada kuhusu Email notification

tovuti

Senior Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
160
Reaction score
12
Wadau mimi natumia gmail(window 7 pro), nimesikia kuna watu wakipata email wanapata notification ya kuwa

wame receive new email kama sms kwenye simu......hivi inakuwaje?? vipi nitaweza kupata notification kwenye pc yangu bila ya

kufungua account?
 
Hapo kwenye Gmail settings ipo hiyo setting,soma gmail help kwenye email notifictaion settings utapata kila kitu kinachotakiwa kufanya ili uweze fanya hiyo notification settings
 
Back
Top Bottom