Wanajamii, habari!
Nimegundua kuwa watu wengi huwa wanajisahau ku-renew title deeds zao pale ambapo muda wa kukodi(lease) umeisha. Ninahitaji information hizi kutoka kwa mtu ambaye binafsi ameshawahi ku-renew:
1. Procedures (hizi ningeweza kupata wizara ya ardhi but nataka taarifa kutoka kwa mtu ambae ameshapitia nielewe uhalisia (not the ideal)
2. Urahisi (how easy was it? how long did it take?)
Asanteni