A Anniem Member Joined Aug 27, 2009 Posts 31 Reaction score 1 Nov 14, 2011 #1 habari wadau, kuna computer ukiwasha inaonyesha kuna program ya photo galley unfinished ila sina cd iliyotumika kuinstall hiyo program na ukienda kwenye installed program haionekani.msaada jinsi ya kuiondoa
habari wadau, kuna computer ukiwasha inaonyesha kuna program ya photo galley unfinished ila sina cd iliyotumika kuinstall hiyo program na ukienda kwenye installed program haionekani.msaada jinsi ya kuiondoa
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,760 Reaction score 22,065 Nov 14, 2011 #2 Download free hii utility itakusaidia 'CCleaner' tumia search engine kama 'Google' kutafuta
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,081 Nov 15, 2011 #3 CCleaner unaweza kuipata hata hapa Hiren and Pankaj's Homepage » www.hiren.info Kila la heri na ni bure kabisa.
CCleaner unaweza kuipata hata hapa Hiren and Pankaj's Homepage » www.hiren.info Kila la heri na ni bure kabisa.
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,537 Reaction score 7,353 Nov 15, 2011 #4 Send feedback...