K Kidzude JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 4,423 Reaction score 1,364 Jun 19, 2013 #21 Ukitaka kumuacha ni PM nimunganishie mdogo wangu hajaoa. teh teh. Sio wawazi ni wakimya sana usimmuuzi ovyoovyo.
Ukitaka kumuacha ni PM nimunganishie mdogo wangu hajaoa. teh teh. Sio wawazi ni wakimya sana usimmuuzi ovyoovyo.
KIHENGE JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 339 Reaction score 98 Jun 19, 2013 #22 kwakweli utaenjoy sana maisha ila kitandani watupu kweli mkuu!
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Jun 19, 2013 Thread starter #23 Hawajui mapenz eti? KIHENGE said: kwakweli utaenjoy sana maisha ila kitandani watupu kweli mkuu! Click to expand...
Hawajui mapenz eti? KIHENGE said: kwakweli utaenjoy sana maisha ila kitandani watupu kweli mkuu! Click to expand...
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Jun 19, 2013 Thread starter #24 nyangau said: kama ni mke hapo utakuwa umepata wa nguvu Click to expand... Sawa mkuu!
KIHENGE JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 339 Reaction score 98 Jun 19, 2013 #25 GOOGLE said: Hawajui mapenz eti? Click to expand... ndiyo mkuu lakini lisiwe tatizo kubwa sana kwako bcs unataka mke niwatu wazuri sana wavumilivu sana na wanamapenzi ya kweli!
GOOGLE said: Hawajui mapenz eti? Click to expand... ndiyo mkuu lakini lisiwe tatizo kubwa sana kwako bcs unataka mke niwatu wazuri sana wavumilivu sana na wanamapenzi ya kweli!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Jun 19, 2013 #26 GOOGLE said: Mmmmh! Click to expand... Teh! vipi....
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jun 19, 2013 #27 GOOGLE said: Habar ya lyamba. ndgu zangu naombeni kpata details za hawa wanawake pia mnijuze mila zao zkoje ktk suala nzima la kuoa. Click to expand... kwa kuwekea dawaza mapenzi(Limbwata)waume zao ni moja ya sifa zao!
GOOGLE said: Habar ya lyamba. ndgu zangu naombeni kpata details za hawa wanawake pia mnijuze mila zao zkoje ktk suala nzima la kuoa. Click to expand... kwa kuwekea dawaza mapenzi(Limbwata)waume zao ni moja ya sifa zao!
C chief 1 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 260 Reaction score 102 Jun 19, 2013 #28 Mhh umeingia choo cha kike, hawa wanawake ni washirikina vibaya mnoo na pia wanapigwa nje kinoma, hao wanaitwa niangusage tu zambi ni zako, hawa Hakuna haja ya kuwatongoza ww unabiga mtama tu akishaanguka chini unajilia kiulaini kabisa,
Mhh umeingia choo cha kike, hawa wanawake ni washirikina vibaya mnoo na pia wanapigwa nje kinoma, hao wanaitwa niangusage tu zambi ni zako, hawa Hakuna haja ya kuwatongoza ww unabiga mtama tu akishaanguka chini unajilia kiulaini kabisa,
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Jun 19, 2013 Thread starter #29 Evelyn Salt said: Teh! vipi.... Click to expand... Nmefurahia mchango wako.
mabumbe JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 298 Reaction score 40 Jun 24, 2013 #30 Mm binafis cwakubali maana weng wao ni malaya sana. Tafta wahehe.
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 May 26, 2017 #31 Ulishaoa au ulighairisha Mkuu?
M Mtilimapanda Member Joined Mar 26, 2014 Posts 20 Reaction score 15 May 26, 2017 #32 Hao ndiyo wa kuoa kaka superb
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 May 26, 2017 #33 GOOGLE said: Habar ya lyamba. ndgu zangu naombeni kpata details za hawa wanawake pia mnijuze mila zao zkoje ktk suala nzima la kuoa. Click to expand... oa tu hiyo kutaka kuchagua sana utakuja oa zombi kila kabila/binadamu ana mapungufu na uzuri wake
GOOGLE said: Habar ya lyamba. ndgu zangu naombeni kpata details za hawa wanawake pia mnijuze mila zao zkoje ktk suala nzima la kuoa. Click to expand... oa tu hiyo kutaka kuchagua sana utakuja oa zombi kila kabila/binadamu ana mapungufu na uzuri wake