Msaada

Msaada

Ercy's

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
88
Reaction score
24
wanajamvi samahani mwenye namba za mwanafunzi au muhusika yoyote wa shule ya secondary alfagerms morogoro anisaidie
 
kwa father peku peku, njoo karibu
 
Watoto wa siku hizi mna akili. Form 5 unajitaftia shule?

Asante kwa kushukuru kaka
 
Watoto wa siku hizi mna akili. Form 5 unajitaftia shule?

Asante kwa kushukuru kaka
Namansha nataka kuamia npo kwenye shule flan ya dini ambayo sio ya kikristu yani ni shida
 
Sawa bosi. Utajali kunifundisha jinsi ya kuweka avatar?
wapi wewee! jifunze kuweka avater kulingana na jinsia yako.
au SoRRy.. huenda labda ndo biashara matangazo.
SEMA USIKIKE....:evil: :evil: :evil:
 
Back
Top Bottom