wandugu nahitaji baadhi ya icon zisionekane nikifungua menu yangu so naomba mnijuze app ya kufanyia hivyo kama ipo kwa device ya android, maana huyu janja yeye akishika tu anakimbilia kwenye game, shukriya!
Una share na samsung? naona fasta fasta umeipata simu
Jaribu kwenye apps zote bonyeza menu button kama ipo au kama haipo bonyeza vidoti vitatu pale juu halafu ikija menu chagua hide application then chagua za kuhide click ok