N NOKIALUMIA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 397 Reaction score 280 Sep 27, 2015 #1 Natafuta Sphone Ya Tecno H6 Nimezunguka Kariakoo Nimekosa Nataka Nyeupi Kama Uko Dar Nitonye Umeziona WAp Nyeusi Zipo Xhazi
Natafuta Sphone Ya Tecno H6 Nimezunguka Kariakoo Nimekosa Nataka Nyeupi Kama Uko Dar Nitonye Umeziona WAp Nyeusi Zipo Xhazi
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Sep 27, 2015 #2 Nimerudia kusoma zaidi ya mara tatu hii post ndio nimepata mwanga kuhusu shida yako. Ila hebu fanyia editing kidogo hio post. Ungesema moja kwa moja kuwa unatafuta simu aina ya tecno H6 nyeupe. Nyeusi zipo shazi na sio xhazi
Nimerudia kusoma zaidi ya mara tatu hii post ndio nimepata mwanga kuhusu shida yako. Ila hebu fanyia editing kidogo hio post. Ungesema moja kwa moja kuwa unatafuta simu aina ya tecno H6 nyeupe. Nyeusi zipo shazi na sio xhazi
baruti170 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 554 Reaction score 401 Sep 27, 2015 #3 Hahaaa .inaenda sehemu hiyo