Msaada

Joined
Jul 2, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Naomba kuuliza hivi ukireset phone hairudi katika hali ya kawaida mfano mwanga unafifia, haitaki kufungua play store. Mwenye wazo jinsi ya kuirudisha katika hali ya kawaida.
 
Haiwezi kuingia playstore unachotakiwa ni kuiunga upya kwa kutengeneza email na kuhusu mwanga nenda kwenye setting tafta diplay utakuta namna ya kuongeza mwanga
 
Tengeneza upya email simu za android lazima kwanza uiunge internet kwa email
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…