msaada

Ni version ya whatsapp ambayo sio official whatsapp version, yaani haipo kwenye play store.

OG whatsapp imetengenezwa na jamaa anaitwa OSAMA GHARIB ndo maana ya neno OG hapo mwanzoni mwa OGwhastapp.

OGwhatsapp inapatikana kwenye sources tofauti na play store kama vile kwenye Google, au tumia browser yoyote kuitafuta na kuidownload.

Manufaa ya OGwhatsapp ni kukuwezesha kutumia namba nyingine ya simu, ukiacha ile namba uliyokua unaitumia kawaida kwenye official whatsapp, kwa hiyo ukiwa na simu ambayo ni double line utaweza kutumia namba zako zote mbili kwenye akaunti mbili tofauti tofauti za whatsapp.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…