C Coco J Member Joined Apr 22, 2015 Posts 24 Reaction score 13 Apr 23, 2015 #1 sina uhakika kama hapa ndiyo nilitakiwa nipost. mtanisamehe mi mgeni humu. nitaweza vipi kumfahamu mtu anayetumia jina langu na details zangu nyingine katika account ya facebook? naomba mnisaidie.
sina uhakika kama hapa ndiyo nilitakiwa nipost. mtanisamehe mi mgeni humu. nitaweza vipi kumfahamu mtu anayetumia jina langu na details zangu nyingine katika account ya facebook? naomba mnisaidie.
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 23, 2015 #2 Coco J said: sina uhakika kama hapa ndiyo nilitakiwa nipost. mtanisamehe mi mgeni humu. nitaweza vipi kumfahamu mtu anayetumia jina langu na details zangu nyingine katika account ya facebook? naomba mnisaidie. Click to expand... Kwanza muombe urafiki na pia waambie marafiki zako kadhaa wamuombe urafiki ili uweze kumchunguza
Coco J said: sina uhakika kama hapa ndiyo nilitakiwa nipost. mtanisamehe mi mgeni humu. nitaweza vipi kumfahamu mtu anayetumia jina langu na details zangu nyingine katika account ya facebook? naomba mnisaidie. Click to expand... Kwanza muombe urafiki na pia waambie marafiki zako kadhaa wamuombe urafiki ili uweze kumchunguza