Hi guys,
For quite smtym now mi nmekua msomaj wa mada nyng kwenye hili jukwaa na nmekua nkipendezwa na busara za members na nkadhani na mi pia naeza saidiwa alau mawazo tu wa hichi kinachonipa wakat mgumu sasa ivi.
Mimi ni binti wa miaka 24 working here in arusha. Nmekua kwenye mahusiano mara kadhaa ila hamna uliodumu zaidi ya miezi 3 kwa ivo nabakia kua na sex partners most of the time. I know the consequences of having sex partners na natamani kua kwenye uhusiano wa kudumu ila inashindikana.
Mimi nmekua chanzo cha kuvunjika mahusiano hayo mara zote i can say. The thing is when i love i love hard ila the minute i start having doubts on my partner am done. Hata kama atajieleza nkishamtia tu doa kua si mwaminifu ama hanipendi kama anavyodai mkataba nae umekwisha ataanza tu kuona am acting strangely like not replying his txts on tym, not calling back etc.
Sijui kama kuna mtu anapitia ama amewai kupitia hali kama hii anisaidie wat i shud do. Wasiwasi wangu mkubwa is i have started seeing this new guy and am worried ctadumu nae kama haya mambo yay an to me za tena.
please help kwa anaeweza because i really need to get my shit straight this tym around.