Msaada

Msaada

almablack

New Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Hi guys.

For quite sometime now mimi nimekuwa msomaji wa mada nyingi kwenye hili jukwaa na nimekua nikipendezwa na busara za members na nikadhani na mimi pia naweza saidiwa walau mawazo tu kwa hichi kinachonipa wakati mgumu sasa hivi.

Mimi ni binti wa miaka 24 working here in Arusha. Nimekua kwenye mahusiano mara kadhaa ila hamna uliodumu zaidi ya miezi 3 kwa hivyo nabakia kuwa na sex partners most of the time.

I know the consequences of having sex partners na natamani kuwa kwenye uhusiano wa kudumu ila inashindikana.

Mimi nimekuwa chanzo cha kuvunjika mahusiano hayo mara zote i can say.

The thing is when i love i love hard ila the minute i start having doubts on my partner am done. Hata kama atajieleza nikishamtia tu doa kuwa si mwaminifu ama hanipendi kama anavyodai mkataba nae umekwisha ataanza tu kuona am acting strangely like not replying his txts on tym, not calling back etc.

Sijui kama kuna mtu anapitia ama amewahi kupitia hali kama hii anisaidie wat i should do. Wasiwasi wangu mkubwa is i have started seeing this new guy and am worried sitadumu nae kama haya mambo yay an to me za tena.

Please help kwa anaeweza because i really need to get my shit straight this time around.
 
Mimi sioni kama una matatizo,u are just sticking to your principles which is perfect.

As long as it's all about faithfulness then mimi sioni tatizo ila kama huwa unavunja mahusiano kwasababu zingine zaidi ya hiyo then probably you should evaluate your principles.
 
Hi guys,
For quite smtym now mi nmekua msomaj wa mada nyng kwenye hili jukwaa na nmekua nkipendezwa na busara za members na nkadhani na mi pia naeza saidiwa alau mawazo tu wa hichi kinachonipa wakat mgumu sasa ivi.
Mimi ni binti wa miaka 24 working here in arusha. Nmekua kwenye mahusiano mara kadhaa ila hamna uliodumu zaidi ya miezi 3 kwa ivo nabakia kua na sex partners most of the time. I know the consequences of having sex partners na natamani kua kwenye uhusiano wa kudumu ila inashindikana.
Mimi nmekua chanzo cha kuvunjika mahusiano hayo mara zote i can say. The thing is when i love i love hard ila the minute i start having doubts on my partner am done. Hata kama atajieleza nkishamtia tu doa kua si mwaminifu ama hanipendi kama anavyodai mkataba nae umekwisha ataanza tu kuona am acting strangely like not replying his txts on tym, not calling back etc.
Sijui kama kuna mtu anapitia ama amewai kupitia hali kama hii anisaidie wat i shud do. Wasiwasi wangu mkubwa is i have started seeing this new guy and am worried ctadumu nae kama haya mambo yay an to me za tena.
please help kwa anaeweza because i really need to get my shit straight this tym around.

Tulia bado hujafika wakati wako. Subiri utemwe uone machungu yake. Ila ukikuwa utatulia. Yaonekana bado una mawenge.
 
Kifupi ni kwamba una pepo la ngono ndio maana unaona bora mwili wako uwe hekalu la uzinzi badala ya mahusiano yenye hekima...

Jambo la kufanya ni uhakikishe kwanza moyo wako unayakana mahusiano ya kingono ndiposa utatue hili la kutoa vibuti hovyo...

Mwisho, hakuna upendo usio na uvumilivu...
 
wee bwana nani kakwambia wanaume ur age wanataka serious commitment...they just wana f.uck u and leave.

kama wataka partner wakudumu funga miguu yako utampata na tutakuja kula mchele mchafu.
 
kwa mwanamke ambaye hajielewi kila aina ya kingereza anachojua lazma kitaandikwa, akipata neno ambalo halijui au anashidwa kuunganisha sentesi ndiyo anatumia kiswahili, uandishi wa namna hii ni umbulula 100%.

kama unajua kingeraza kwa nn? usiandike kingereza moja kwa moja.
 
kwa mwanamke ambaye hajielewi kila aina ya kingereza anachojua lazma kitaandikwa, akipata neno ambalo halijui au anashidwa kuunganisha sentesi ndiyo anatumia kiswahili, uandishi wa namna hii ni umbulula 100%.

kama unajua kingeraza kwa nn? usiandike kingereza moja kwa moja.

Hahahaha Shy land! wanasema the language similar to english and not english
 
watu wanajiandikia tu ilimradi ni neno la kingereza. Hata nashindwa kuchangia mada yako mdada
 
Kifupi ni kwamba una pepo la ngono ndio maana unaona bora mwili wako uwe hekalu la uzinzi badala ya mahusiano yenye hekima...

Jambo la kufanya ni uhakikishe kwanza moyo wako unayakana mahusiano ya kingono ndiposa utatue hili la kutoa vibuti hovyo...

Mwisho, hakuna upendo usio na uvumilivu...

wewe ndio umesema kweli watu8,naimarika sana na ushauri wako upo vema sana!vp hana mafaile huyu?
 
kwa wasomi 2meelewa ila kuna std 7 hapa eng prblem kama akina xhy.... ila all in all god iz every thng pray 2 him
 
kwa wasomi 2meelewa ila kuna std 7 hapa eng prblem kama akina xhy.... ila all in all god iz every thng pray 2 him

std 7 ya shy wewe inakusumbua nini? kama siyo kihelehele, kama cha kuku anayetaka kutanga.

hafu hapo kwenye red umeandika nn? sasa wewe tozi.
 
Kama haudumu nao!!! nipe basi na mimi nichovYemo hilo jamvi la wageni!!
 
I sinki u shud livu him immediatly before hujamspot kuwa ana doa la unfaithful

Shyland................
 
dada wiki ijayo na mimi nitakuwa arusha sasa fanya hivyo tuonane
 
Inaonekana unatafuta madoa kwa wenzi wako kwa juhudi...ukitafuta lazima uyapate na kwa vile we si wa kusikiliza utetezi basi utaendelea kutoa vibuti tu
 
Dah ngoja nitafute dictionary kwanza ili niweze kuelewa Mada yako dada halafu narudi kukujibu kaa hapo hapo hewani usitoke
 
Back
Top Bottom