H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 571 Oct 2, 2014 #1 Naomba msaada mwenzenu. Naipenda JF ila natamani kuwe na option ya kublock mtu yani post yake mimi tu nisiione. Wengine wenye kuenjoy style yake waendelee kufaidi. Inaweza kuwapo?
Naomba msaada mwenzenu. Naipenda JF ila natamani kuwe na option ya kublock mtu yani post yake mimi tu nisiione. Wengine wenye kuenjoy style yake waendelee kufaidi. Inaweza kuwapo?