Msaada

Msaada

Idd Omary

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
37
Windows yangu imeleta message kwenye screen " ACTIVATE WINDOWS
GO TO PC SETTING TO ACTIVATE WINDOWS"
Kweli nimechoka kuondoa hiyo kwa kwenda kwenye pc setting lakini sijaona hiyo option ya kuactivate window! Mwenye maujuzi na haya mambo msaada jamani!!
 
ingekuwa vizuri ungejieleza kwa ufanisi..


  • OS unayotumia mfano Windows 7,8 ect.. ili uweze kusaidiwa.
 
Back
Top Bottom