Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Kimbweka, Jul 26, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Habarini wandugu!!1
  Nina tatizo limenitokea ni la kupata uvimbe kwenye taya la kushoto, Ni kama linafanana na kuvimba tezi ila kutokana na madaktari wanasema siyo uvimbe wa tezi na bado hawajajua ni nini hasa! Nimepima damu na hakukua na infection yeyote. Nilipewa dawa ya Ampliclox na Brufen nitumie lakini sijapata nafuu na uvimbe unazidi kuwa mkubwa! Naomba msaada kwa anayejua dawa nzuri ya hili tatizo anieleze,
  Asante
   
Loading...