Wadau habari zebu. Jamani mi ni mgeni ulimwengu wa ving'amuzi nimekaribiswa na azam. Tatizo langu ni kwamba, sijapata channel nyingi zaidi ya tatu. Kila channel ninayotaka icheze napata info YOUR SMART CARD NEVER PAIRED! Sielewi katika mazingira ya decoder hiyo info inataka nini. Kingine in kwamba mara tu mawingu ya mvua kutanda hata hizo tatu nilizokua napata wanasema NO SIGNAL! Naomba kujuzwa nini mbaya kwa hii king'amuzi yangu.