Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 193
Natumia simu aina ya blackberry 9810 tatizo ni video youtube hazichezi wala online tv vyote vimegoma mwenye kujua namna ya kuset anisaidie
Nilikuwa na the same problem lakini nilivyobadilisha bandi from complete to absolut Bis online video zote nikawa naona