Njia ya kutumia mkono ni bora zaidi, hata hivyo inategemea na kazi kuwa inahitaji nini au au apply vipi,naweza kukushauri kuwa maombi ya kazi yanategemeana na maelezo ya kazi jinsi ya kuapply.
Waajili wanaopendelea njia ya email target yao huwa ni CV yako na Certificate zako ambazo huwa ume_attach kwenye email. Hivyo kwenye email huwa kuna maelezo machache kukuhusu wewe.