Msaada

Wakuu me ninatatizo moja,yani nikiwa kwenye majambozi goli la kwanza linawahi kutoka haraka sana,yani hata dk 5 hazifki kwa kweli,sio siri hii hali siipendi kabisa kwa kweli,yani nimejaribu kila njia nimeshindwa kw kweli naombeni msaada wenu

Wewe ulitaka litoke baada ya muda gani?
 
Wakuu me ninatatizo moja,yani nikiwa kwenye majambozi goli la kwanza linawahi kutoka haraka sana,yani hata dk 5 hazifki kwa kweli,sio siri hii hali siipendi kabisa kwa kweli,yani nimejaribu kila njia nimeshindwa kw kweli naombeni msaada wenu

kwakweli yani kwa kweli, jaman kwakweli wathungu wanawahi jamam!
Punguza mafuta mwilini boss itakusaidia kutoa tatizo!
 
Unapofanya tendo hakikisha jamaa humwingizi yote unaingiza robo kisha unasugua kona zote za mwenzi wako unakuwa unaingiza yote kwa kushtua na mwili wako usigangamare inatakiwa u relax na kiuno tu ndio kiwe kinafanyakazi,hakikisha miguu na mikono inakuwa ime relax uhakikishe hutokwi jasho mkuu ukifanya hivyo wazungu watakuja baada ya nusu saa au dk 40.
 
utazoea tu na itaisha yenyewe ...ukiwa nae daily utalizoea tendo na itaisha
 
Nimeoa mwezi wa 2 mwaka huu

Basi ngoja nikujibu kwa ufasaha kwa kuwa ni mwanandoa mwenzangu,kama unachukua dak 5 kwa goli la kwanza upo sahihi na unaenda vizuri tu maana kuna wanaume wengine wanachukua sekunde.Goli la kwanza halihesabiwi yaani ni kama yale magoli ya Chacharito wa Manchesta na Philipo Inzaghi.Goli la kuchukulia kombe tena champion league ni magoli yanayofuata baada la hilo la kuotea,sema sasa kama ukishatoa wazungu kwa hilo la kuotea unachukua madakika kutafuta mzee kusimama hapo sikufagilii maana inatakiwa ukiotea urudi kwenye nafasi yako hata kabla ya refa kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…