Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 569
Kwa goli la kwanza au la pili ni kwa yote inakuwa hivyo?
huo unaitwa mzuka yani unakuwa na mzuka sana. kwanza ona kawaida tu.
pia ukiona wazungu wanakuja stop kwa muda kidogo kisha endelea
Mkuu nimejaribu kuzuia wazungu ila nashangaa tu wametoka
Sa we hutaki ushindi loh! Uwe unamwambia kipa adake kabla mpira haujafika golini!
Mkuu nimejaribu kuzuia wazungu ila nashangaa tu wametoka
ha ha ha haaaaaaaaaaah
Wakuu me ninatatizo moja,yani nikiwa kwenye majambozi goli la kwanza linawahi kutoka haraka sana,yani hata dk 5 hazifki kwa kweli,sio siri hii hali siipendi kabisa kwa kweli,yani nimejaribu kila njia nimeshindwa kw kweli naombeni msaada wenu
Ukijua unagemu piga VIROBA japo viwili, afu uone ukitega usiku ananasa asubuhi!
Ukijua unagemu piga VIROBA japo viwili, afu uone ukitega usiku ananasa asubuhi!
wenzio tuna maujuzi mpaka ya kubana au kuahirisha goli wewe unapiga premature khaaa!
,yani nimejaribu kila njia nimeshindwa kw kweli naombeni msaada wenu
Ya kwanza niliambiwa wazungu wakitaka kuja nihamishie mawazo nje ya tendo,nimejarb hola,nimejaribu kujizuia wazungu wakitaka kuja inashindikana wanakuja ghafla tu,so nisaidie nyingine mkuuUmejaribu njia zipi hzo zikashindikana ili upewe nyingne?