app ni tofauti na android!
android ni operatng system lakin app ni kama facebook,viber n.k
en yes s3 ya2mia android na inasupport lots of app:thumbup::thumbup:😕😕😕😕:thumbup:
1. hio simu sio samsung galaxy s3 original
2. ni original sema ni version ya kichina
fanya hivi tafuta mtu ambae ana samsung galaxy original then chukua simu yake fatiliza anavyofanya kuchange lugha then na wewe ufanye. ukiona anavyofanya wewe kwako havipo ujue kimeo hiko
alternative nyengine
bonyeza setting (icon kama ya gear)
shuka chini hadi utaona icon ina alama ya A hio ndio sehemu ya kuchange lugha
Kaka nimeweka hii android yenye jina hili ambayo ndani yake kunakuwa na vitu vingi GO LAUNCH sasa mfano nikimpigia mtu nikitaka kukata simu nakuta imeji lock au naombeni mfimo mzuri wa android au nilazima ninunue original
Sasa mkuu kichina na Android kuna uhusiano gani? Anyway jaribu kuipeleka kwa dealers wa Samsung alipokaribu nawe. Maana sina uhakika kama kuna Galaxy fake mtaani isipokuwa kuna Galaxy zinazotengenezwa China kama ilivyo GT-P3100 mini tab 2 (7.0 inch) lakini haina tatizo lolote na ni ya kuaminika pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.