Help! Simu yangu hai-download chochote inaandika 'error 100009' maana yake nini? Niliuziwa na mtu wa tigo simu zao hz nyeusi aina Mi-Fone Mi-W100 af mtu mwenyewe ni wa promosheni ashaenda zake,sijui tatizo ni nini au niiflash? au nipige chini ila pesa yangu inaniuma! wadau nsaidieni