Msaada

mchosho

Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
17
Reaction score
1
jamani wana jf,mimi nimsichana,memaliza chuo mwaka juzi,nimetafta ajira sijapata,naomba wenye uwezo mnipe mkopo nijiajiri,nina plan ya kufanya biashara ya chakula yani kupika.
nahtaji mtaji wa mil.moja na nusu.naamini baada ya muda ntarudisha mkopo.
naombeni mchango wenu na ushauri pia
 
Pole dada

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 

Hujasema umemaliza chuo gani, kozi gani, umetafuta ajira ya aina gani n.k Inabidi uwe muwazi zaidi.. kazi zipo lakini 'you have to be the best'.
Kwenye Red - inabidi uwe makini, ukiandika barua ya maombi bila kuwa makini, hufiki kwenye 'short list' ya mwanzo.. vitu wanavyoangalia ni vitu vidogo vidogo sana.
 

asante
 

Mungu atakufungulia njia, muombe atakusaidia.
 
Ndugu yangu pole, ila hujatuambia kozi uliyosoma, na level gani, mtu anaweza akashindwa kukusaidia mtaji ila akakupa channel ya kupata kazi.

nina degree ya sheria,nimevolunteer kwa miaka iyo miwili huku nktafta kaz,lakini sijapata,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…