Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Wun, Jul 7, 2009.

 1. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wakuu wadau nimeangaika sana kutafuta field work sehemu tofauti lakini nimekosa hadi sasa kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kupata sehemu ya kufanya practical training ninaomba msaada wenu wadau.ni mwanafuinzi wa mwaka wa kwanza chuo ninachosoma kipo hapahapa dar es salaam ninachukuwa bachelor degree in business administration kama kuna mtu anataka kunisaidia email yangu ni "juzzmanone@yahoo.com"
   
 2. Robweme

  Robweme Senior Member

  #2
  Jul 7, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana;
  Wewe fikiria unataka kufanyia wapi, then mwambie mwalimu wako awandikie barua na kua dress pale ambako unaona kunafaa kufanyia post au peleka iyo barua, wapatie watakubali tu.Just write a letter to the organisation ur intending to make practical,obviuosly they will call u.Chamsingi kabisa ni kwamba barua itoke chuoni kwa mkuu wa chuo na kwenda moja kwa moja kwa pale unadhani kunafaa kufanyia practical.Bila hivyo makampuni mengi hasa binafisi siku hizi hayapendi sana wanafunzi kabisaaaa.Nadhani wanafunzi wengi hawana behaviour nzuri hasa pale wanapofanyia field zao, kwahiyo wenye makampuni wengi wanawakataa siku hizi.
  Na ukienda fanya kazi moja kwamoja kila siku, sio unaenda leo kesho huendi,ukitegemea fulani atakupa madesa, mwenye kampuni atakasirika sana.
  Uho ndo ushauri wangu.
   
 3. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu yoye hayo nimefanya barua nilizo enda kuombea zimetoka chuo sina kila kiyu ambacho kinaonywesha mimi ni mwanafunzi wa bale na shida yangu nii mean zina maelezo yote mkuu basi tuu sasa hivi sijui kwanini wanasumbua sana hadi kiasi hiki.
   
 4. nyasaland

  nyasaland Member

  #4
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pole kijana ila kweli kabisa kuna kubana sana suala la field placement ila unatakiwa kupeleka barua sehemu nyingi then uweunafuatilia kwa karibu sana maana huwa jamaa wanajisahau hawa
   
 5. Robweme

  Robweme Senior Member

  #5
  Jul 16, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo wizara ya elimu nao wamelala,miaka ya 2000 tunasoma sisi tulikuwa tunatafutiwa na uongozi wa chuo, kulikuwa kuna kitengo mahalumu kabisa,kinapewa pesa kufuatilia makampuni mbalimbali kuakikisha kila mwanafunzi anapata sehemu, na hiyo ilikuwa inafanyika miezi kadhaa kabla ya kufunga muhula.Kwahiyo ukimaliza tu mitihani, unaambiwa robweme chagua field unataka kwenda wapi bukoba,mtwara au iringa unapewa pesa yako ya kulala na kula hadi utakapomaliza field, lakini enzi hizo ufisadi ulikuwa haujapamba moto.Sasa ndugu zetu hawa wanalimbikiza pesa as if hawatakufa na kuziacha, na nyinyi vijana wao mnakosa field.Sijui naweza kukusaidiaje,kweli makampuni mengi hasa ya kigeni hawapendi,kuna kitu kimetokea hapa katikati.
  Anyway pole sana.
   
 6. A

  Audax JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole saana ndugu yetu,hapo labda kwa ushauri wa baade unaweza kuanza kutafuta mapema lakini kusubiri mpaka mwisho matokeo yake ndo kam haya unachelewa saana kuanza hivyo na kumaliza ndo staili hiyo hiyo. Cku hizi nchi yetu hawajali wanafunzi wanaotafuta field hasa vyuo husika,kuna i=uzembe wa namana fulani unafanyika katk kuwatafutia wanafunzi sehemu za kufanya field,natao wito kwa wahuska kule vyuoni kuanza mapema mchakato wa kutafuta field,kwa sasa vyuo ni vingi mno ila kama ukiwahi possibility ya kupata ni kuwa saana.
   
 7. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mimi nimepeleka barua miezi mitatu before mean kabla ya kufunga chuo
  na nimepeleka sehemu zaidi ya nane so sasa hv ni kujuana na kubaniana
  kuna ofisi mmoja walinipa paper bado wakaniita kwenye interview kwa
  ajili ya field tuu na bado wakanitosa na kote kwenye test yao pamoja
  na interview nimefanya vizuri hii nchi sijui inaenda wapi?
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  bongo nuksi wanatosa mpaka field alafu ukimalia wanakuja kusema hufai maana hujui kazi kwa vitendo.....
  system ya bongo ningekuwa na uwezzo naipiga bomu la ATOMIC yoote kuanzia magogoni mpaka chini alafu tunaanza upya....
   
 9. m

  mapesaK Member

  #9
  Jul 27, 2009
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Pole sana ndugu..Hivyo ndivyo ilivyo bongo yetu..ukiomba field unanyimwa then utakapo maliza chuo kazi ndo hupewi kabisa maana wanasema huna experience, sasa jamani experience utatowa wapi wakati hata practical tu wamekunyima?...Yaani hapa bongo sijui kama tutaweza endelea na kuuepuka huu umasikini tulionaonao..Pole sana ndugu jaribu kufatilia zile barua ulizopeleka.
   
 10. e

  enock1143 New Member

  #10
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi weeh,tuma barua ya maombi ya kazi nayopia itakupa nafasi ya kijipatia mafunzo saidi.ama vipi?Hapa Kenya ndivyo twafanya na twasaidika pia.cuz Ukienda kwa kweri hautabewa nafasi kama hiyo.
   
Loading...