Msaada

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Jamani,za asubuhi wana jf.samahani minimwanafunzi wa kidato cha sita,nlikuwa nauliza,kwa wale wanaojua qualification anazotakiwa kuwanazo mtu anaetaka kusoma chuo kozi ya Bsc in accounts &finance,wengine wanasema uwe na div 1.6 mzumbe,au ardhi unversty,naomba kujulishwa
 
aru wamechukua hadi div II mbona?mi kuna mshikaji wangu kapata aru!bou mzumbe i got no sure
 
hata hiyo mzumbe jamaa angu mmoja kapa div2 mbona kachukuliwa!!! aru jamaa angu alikua na div 1.8 kaenda mwingine div 2 kapata...mi nadhan hayo mambo hamnaga...jus luck...
 
pambana na necta kwanza ukimaliza ndo unatafuta kitu unachotaka kulingana na ulivofanya mtihan
 
kaza kwanza dogo afu ndo uanze kuulizia,kujua si ujinga lakini jiandae kwanza mdogo wangu
 
Back
Top Bottom