Msaada

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Naomba msaada wana JF E-mail ni gmail lakini nimekua napokea notification kutoka Facebook na mitandao mingine ambayo nimejiunga sasa nahitaji kuondoa notification zisiingie kwenye E-mail. AHSANTE
 
Unapata kupitia simu au?kama ni kupitia simu,simu yako ni aina gani kwani??
 
Naomba msaada wana JF E-mail ni gmail lakini nimekua napokea notification kutoka Facebook na mitandao mingine ambayo nimejiunga sasa nahitaji kuondoa notification zisiingie kwenye E-mail. AHSANTE

Angalia hizo email zina option au link za ku'unsubscribe, ila kwa Facebook nenda settings utaona option ya kuzima notifications
 
Poa poa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…