MSAADA

Jimmy George Sanga

Senior Member
Joined
Jan 28, 2022
Posts
134
Reaction score
251
Habari za wakati huu wakuu, kwa wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu mambo vipi.

Baada ya miaka minne ya kukomaa shamba na kuambulia mabua, sasa naona ni muda muafaka wa mimi kujaribu bahati yangu kwenye gurudumu hili la utumishi kama wengine walivyojaribu.

Nimekuja mbele yenu kuomba msaada hasa kwa wanasheria/wakili ili nipigiwe muhuri kwenye vyeti vyangu vya taaluma ili niwe na sifa ya kuomba kazi za utumishi.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwa yule atakaependezwa kunisaidia kwani hali mtaani si nzuri kwa kweli.

Napatikana kwa namba 0624413843 whatsap/call

Mungu awabariki sana.
 
Cc: Wakili msomi Pascal Mayalla saidia huyu kiumbe.
 
hahahahah achana na muhuri endelea kulima bora huko unapata mabua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…