Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Jan 17, 2012 #1 salaam wanajamvi, Simu yangu aina ya nokia 5530 kila nikiweka video au nikitaka angalia u tube inakataa, Wanasayansi wa jf mnanisaidiaje?
salaam wanajamvi, Simu yangu aina ya nokia 5530 kila nikiweka video au nikitaka angalia u tube inakataa, Wanasayansi wa jf mnanisaidiaje?
danione Member Joined Oct 26, 2011 Posts 58 Reaction score 5 Jan 17, 2012 #2 Hilo tatizo hata mimi huwa linanitokeaga Nikiweka Airtel inakataa ila nikiweka Voda inakubal Sa sijui wewe unakuwa unatumia mtandao up
Hilo tatizo hata mimi huwa linanitokeaga Nikiweka Airtel inakataa ila nikiweka Voda inakubal Sa sijui wewe unakuwa unatumia mtandao up
Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Jan 18, 2012 Thread starter #3 danione said: Hilo tatizo hata mimi huwa linanitokeaga Nikiweka Airtel inakataa ila nikiweka Voda inakubal Sa sijui wewe unakuwa unatumia mtandao up Click to expand... Airtel ndio nayo itumia
danione said: Hilo tatizo hata mimi huwa linanitokeaga Nikiweka Airtel inakataa ila nikiweka Voda inakubal Sa sijui wewe unakuwa unatumia mtandao up Click to expand... Airtel ndio nayo itumia
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Jan 18, 2012 #4 Maranyingi sana airtel wanamatatizo ya kuangalia youtube video kwa mobile, nahisi kutakuwa na matatizo kwenye mipangilio yao
Maranyingi sana airtel wanamatatizo ya kuangalia youtube video kwa mobile, nahisi kutakuwa na matatizo kwenye mipangilio yao