Wakubwa naombeni msaada natumia n73 kila nikidowload application haita kuistall inaniandikia unable to install naombeni msaada wenu kwa wale wataalam wa mambo haya.
nikidowload game pia haikubali ila music inakubali nikidowload na pia bluetooth yangu haitaki kufungu inaniandikia inable to perform bluetooth operation
Wakubwa naombeni msaada natumia n73 kila nikidowload application haita kuistall inaniandikia unable to install naombeni msaada wenu kwa wale wataalam wa mambo haya.
n73 inakubali games za aina 2, java na symbian s60 fp1 zenye os ya 9, hapa kwenye symbian zipo game za os 8 zinazoishiwa na .sis kwa mbele hizi si za simu yako game za simu yako mara nyingi zinatakiwa ziishie na sisx. simu yako inakubali game zenye resolution ya 240x320 s60v3 ingia website hizi hapa chini kujipakulia games