marida Senior Member Joined Oct 27, 2011 Posts 168 Reaction score 20 Jan 12, 2012 #1 habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz..
habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz..
M Marandura Senior Member Joined Jul 21, 2011 Posts 105 Reaction score 11 Jan 12, 2012 #2 K. Kaa kwenye foleni ya kuingia kwa doctor
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,416 Reaction score 3,048 Jan 12, 2012 #4 Kamuone daktari haraka.
marida Senior Member Joined Oct 27, 2011 Posts 168 Reaction score 20 Jan 12, 2012 Thread starter #5 tz1 said: Unaumaje? Click to expand... Like u have heard a sad stor,au msiba,but nothing.
Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Jan 12, 2012 #6 marida said: habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz.. Click to expand... Kama wewe ni mnywaji wa pombe yoyote (beer/whisky/brandy/cognag/wine/rum/chibuku n.k), hebu tafuta yule shoga/rafiki yako mpenzi mtoke mkapate kidogo pombe huku mkitia story, itafuta kabisa huo msongo wa moyo. Acha kukaa kiupweke upweke
marida said: habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz.. Click to expand... Kama wewe ni mnywaji wa pombe yoyote (beer/whisky/brandy/cognag/wine/rum/chibuku n.k), hebu tafuta yule shoga/rafiki yako mpenzi mtoke mkapate kidogo pombe huku mkitia story, itafuta kabisa huo msongo wa moyo. Acha kukaa kiupweke upweke
njamayo Senior Member Joined Jan 6, 2012 Posts 150 Reaction score 42 Jan 12, 2012 #7 marida said: habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz.. Click to expand... marida kuna ki2 tu kinakusumbua ambacho hujajua. mwone dk fasta, usisubiri zaidi.
marida said: habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz.. Click to expand... marida kuna ki2 tu kinakusumbua ambacho hujajua. mwone dk fasta, usisubiri zaidi.