Msaada

Thingis

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,889
Reaction score
5,985

Wakuu msaada wa kuondoa tatizo la maandishi kuwa makubwa upande wa sms nashidwa jinsi ya kuyapunguza, nimeenda kule kwenye settings ipo small sawa sawa , ila shida ni kwenye upande wa sms tu
 
Tumia vidole vya mkono mmoja ukiwa umefungua sms mojawapo. Hold vidole viwili huku ukiwa kama una vikutanisha. Drag in two fingers. Maandishi yatapungua ukubwa.
 
Rahisi sana, hapohapo ulipofungua drag vidole vyako kama unavikutanisha hivi.

Na ukitaka kuongeza hivo hivo, weka vidole viwili drag kama unatanua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…