Msaada... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mkeshahoi, Jan 8, 2012.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau..Heri ya Mwaka Mpya!!
  Nahitaji kufahamu Mtu/ Taasisi inayotoa mikopo midogo kwa kukuza biashara changa. Dhamana ya mkopo ni mali(assets) za kampuni.. Mabenki yasiwemo katika hili sababu masharti yao bado mazito kwa mjasiriamali anayeanza biashara… muda unasonga… biashara inatia moyo….
  Ahsanteni sana!!!!
   
Loading...