Msaada

godknows

Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
29
Reaction score
47
Wakuu naomba kuulizia habari za huyu jamaa maana nimeona anatrend sana.
Aliye na taarifa nae tafadhari.
Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa ni mwanamitindo.
Kuachana na umri wake jamaa ana nyuka sana pamba huyo.
Kuna duka la whole sale linamtumia kwa kumvalisha nguo huyo mzee kama model wao. So usishangae kutamba kwake.
 
Jamaa ni mwanamitindo.
Kuachana na umri wake jamaa ana nyuka sana pamba huyo.
Kuna duka la whole sale linamtumia kwa kumvalisha nguo huyo mzee kama model wao. So usishangae kutamba kwake.
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…