Msaada

Msaada

Mundele Makusu1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2021
Posts
2,614
Reaction score
3,703
Habari wakubwa,mm ni kijana niliehitimu kidato cha sita kuna kozi ya bachelor of science in economics policy and planning(EPP) ninaomba ushauri wa mbinu,mawazo kuhusu kozi hii.na kazi gani anazoweza fanya kijana anaesomea kozi hii???
 
Habari wakubwa,mm ni kjn niliehitimu kidato cha sita kuna kozi ya bachelor of economic. Policy and planning ninaomba ushauri wa mbinu,mawazo kuhusu kozi hii.na kazi gani anazoweza fanya kjn anaesomea kozi hii???
Andika vizuri usaidiwe hizo kozi ni tatu, mbili au moja.
Ukitofautisha nitakuja kukushauri hasa katika uwanja wa uchumi.
 
Andika vizuri usaidiwe hizo kozi ni tatu, mbili au moja.
Ukitofautisha nitakuja kukushauri hasa katika uwanja wa uchumi.
Nashukuru boss,kozi yenyewe inaitwa bachelor of science in economics policy and planning (EPP)
 
Sawa hiyo mimi si mtaalamu sana kwenye eneo hilo hapo ingekaa economics pekee ningepata pakuanzia.
Ahaaaa nashukuru mkuu,naomba UFAfanuzi pia ata kuhusu hio kozi ya uchumi in general kuna vitu kidogo naweza pata na vingine vikawa funzo kwa vijana wengine watakaosomea kozi hio baadae na jamii nzima kiujumla
 
Kiukweli kozi ipo vizuri kwenye maisha ya sasa na inatumika sana.
Hivyo hapo hali nzima ya uchumi unaweza kupata dots.
Mfano hapo utajifunza mambo yote ya mzunguko wa fedha, uzalishaji, ununuzi, matumizi, usambazaji na mabadiliko yake.

Vitu vingi sana unaweza faidika na kozi hii
 
Back
Top Bottom