MSAADA!!!

Marek18

Member
Apr 26, 2020
20
17
Jamani poleni kwa majukumu...



Nilikua naomba msaada kwa yeyote mtaalam wa online business hasa zile za ku-earn money online aje anipe msaada juu ya hii online site inayoitwa EARNJET niliyoambiwa ipo KENYA,TANZANIA NA UGANDA na inatoa asilimia 6% kila siku kwa pesa uliyo invest..



Kwa mfano ukiwa ume invest 2600/=

Wanakupa 130 kila siku na utatoa pesa baada tu ya kuwa account yako ina 10700/=





Sasa ndugu mwenye uelewa na hii kitu anipe msaada je!? Ni kweli au ni kulizwa kule kule!!!!
 
Back
Top Bottom