msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by envio, Sep 13, 2011.

 1. e

  envio New Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  >Habari za kazi ndugu,pole sana na majukumu ya kila siku.Ndugu mi nina shida ambayo imekuwa inaninyima usingizi kila siku.Nina wadogo wangu wawili ambao ni mapacha wote wako form four boarding kigoma,wamekosa kabisa ada ya kulipia ili wamalize masomo yao, Hapa ninapoongea wamefukuzwa shule wapo nyumbani na mtihani wa taifa ni mwezi wa kumi,mimi sina uwezo wa kuwasaidia ingawa najitahidi ili nione kama nitaweza kupata angalau ada kidogo.kila mtoto anadaiwa shilling 319,000 na wako wawili.mamyao hana tena uwezo wa kuwalipia tena ada kwani anaumwa na alikuwa anategemea kilimo.Ndugu yangu nilikuwa naomba msaada angalau waweze kufanya mtihani wa taifa.muda unazidi kwenda na hali ya kifedha si nzuri kwangu.Naomba tafadhali angalau kama wanaweza kupata mtu wa kuwafadhili hata wakapata elimu ya form four.Asante>Namba yangu ya simu ni 0762369068.
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mhh!!!!
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  mkuu ukishindwa kabisa kaombe hapo shuleni japo wafanye tu mtihani ila cheti kikitoka hawataweza kuchukua hadi umalize ada....................
   
Loading...